Wasanii wa Mombasa kwa mara nyingine tena wadhulumiwa na kufinyiliwa kihela uku wasanii wa Tanzania wakionekana kulipwa vizuri zaidi. Hii ilibainika baada ya budget ya sherehe ya ODM itakayofanyika mjini Mombasa kufichulika. Swali ni je wasanii wa mombasa na kenya nzima watakanyagiwa mpaka lini???



Related Posts