Coast Showbiz Majanga

The controversial rapper “Kassamoney” opens up about coast showbiz


Over the years, coast music has been seen going down in a rate that can’t be explained and this is rather shocking, with so much controversies and social media fights between the stalk holders and funs and fights between artist and artists, deejays, emcees and event organizers, for a very long time there has not been anything good or productive to smile about as far as coast showbiz is concerned. No new and good music on radios, No videos, shows or events. The showbiz is just quite and boring offlate
Coast musician are not doing well at all and of late rumors has it that they have run out of content. Some of the music toping on radio chats are diss-tracks and now you even wonder where they went wrong…..


The coast most controversial rapper well known as KassaMoney had this to say about all this drama.....

"COAST INDUSTRY KUNA Niiii?  
Hakuna mziki tena ??? 
Hakuna wasanii tena??? 
Hakuna habari za kimziki kwenye blogs zenu tena ??
Wasanii wamebaki ni wakuhesabu..  
Hadi siku izi imebaki ma fans tu kupiga kelele kwenye mtandao utadhani ni wasanii...  
Wasanii wamekuwepo ila kuwacheza kwenye radio zenu au playlist zenu mlikuwa mwaringa.. Sai nikama wasanii wote tuligoma 

Ukame wa mziki pwani umetanda 
Kimya kimezidi... Naona Artworks za mziki from few MCs wenye walibaki na sioni videos  
Radio zimebaki kucheza Darasa na bongo music mixed Na west African shit.. Sai mtajivunia nini?? 
Wasanii waliobaki wanaimba utumbo tuu...
Industry imekuwa dull hadi hamna budi kucheza Nairobi music mkijivunia ukenya..  
Mumebaki Na ule ex wa Dazlah wa kupiga kelele facebook utadhani akiachiwa usanii atauweza  
 Kuishi dubai imepea watu balls 
Wasanii mume baki na akina dogo richy wale wakutembea vifua bure Na slippers kwa mguu pale bamburi.. Msanii ako Na mashida badalaatunge wimbo kujihusu yeye Kama vile Tu Fat S aliimba "Maisha yangu" jamaa ana split shida zake akiganyia wasanii wengine kwa Ngoma.. Hao ndo wasanii mko proud of?  
Wengine ni wale wa kufanyiwa videos bure Na zime hit but still ukiwauliza expences za video hucost ngapi hawajui hata logistic hukuwa dough ngapi... 
50% ya wasanii Sai wamekuwa ma photographers  
Wenye wamebaki kubiga kelele kwa social media hawajai Ata Ata fanya video unaeza tizama more than one minute kabla hujaffinya next  
 Inabidi mbaki Na Akothee mcheze zile ngoma zake plain  Sa mtafanyaje??
Na mkiniambia eti Kuna Ngoma latest zimetoka Na sijui then jueni izo songs Ni mbovu.. 
Ngoma nzuri Ni Ile utakutana nayo hata Kama huskizi radio  wala huwatch tv 
Sai updates za madj Na mapresenter Ni sports pesa Na game itachezwa Leo.. Ju tangu a share Ngoma ya msanii tena atangoja hadi mavi yakauke.. Hamna mziki kabisa 
Updates Ni za mpira mpaka badae..
Masocialite hawana kazi tena... Mamodels humodel kwa selfies 
Mkiambiwa mcheze mziki wa watu mnaona kambae mnaambiwa vibaya haya kuleni jeuri yenu.. Jivunieni microphones na headphones  za studio.. Wasanii Sai Yuko wateja line zote.. "

So that was Kassamoney's take, what is your take on the issue???
Remember to leave a comment

Related Posts